Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Kitengo cha Fedha na Uhasibu

Majukumu ya Kitengo cha Fedha na Uhasibu

  1. Kuandaa na kulipa mishahara kwa wakati
  2. Kuandaa na kuwasilisha nyaraka za malipo Hazina
  3. Kuandaa na kuwasilisha taarifa za Mapato na Matumizi Hazina
  4. Kuandaa na kuhifadhi kumbukumbu za nyaraka za Malipo
  5. Kutekeleza malipo kwa Mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu za matumizi ya fedha za Serikali
  6. Kuandaa na kuratibu majibu ya hoja mbalimbali za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.