Kuendeleza utambulisho wa Taifa kwa kuwezesha upatikanaji stahiki wa Habari, kukuza utamaduni, Sanaa na michezo kwa lengo la kuleta maendeleo ya jamii kiuchumi.