Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Dira

Kuwa na Taifa linalohabarishwa kikamilifu, lililoshamirika kiutamaduni lenye kazi bora za Sanaa na lenye umahiri katika michezo.