Benjamin Mkapa and Uhuru Stadium Services

S/N

HUDUMA

GHARAMA

1.

Kukodisha Uwanja wa Taifa

Tshs. 20,000.000/= au 15% ya mapato ya mlangoni

2.

Kukodisha Uwanja wa Uhuru

Tsh.15,000.000/= au 15% ya mapato ya mlangoni

3.

Mchezo wa Riadha (Athletics Events)

Ths. 3,000,000/=

4.

Mazoezi ya Timu (Football Training per session) Taifa

Tshs. 300,000/=

5.

Mazoezi ya timu Uwanja wa Uhuru (Football Training per session)

Ths. 200,000/=

6.

Matamasha na Maonesho (Exhibitions in open areas Parking area) Taifa

Ths. 5,000,000/=

7.

Sports Bonanza (not in the pitch) Taifa

3,000.000/=

8.

Sports Bonanza Uwanja wa Uhuru

Ths. 2,000.000/=

9.

Ziara za mafunzo,(vikundi/grouos). Mtoto/mwanafunzi /mtu mzima. N.B Gharama hizo zitahusisha ziara kwa viwanja vyote viwili (uhuru na Taifa).

Tsh.500/=

Ths.1,000/=

10.

Sherehe za Kijamii katika kumbi

(a) VIP Parking (Harusi, Sendoff. N.k.)

(b) Ukumbi Mkubwa Ground Floor

(c)Banquet Hall VIP

(d) Maeneo mengine ya wazi

Ths. 1,000.000/=

Ths. 700,000/=

Tsh. 1,400.000/=

Ths. 1,000.000/=

11.

Upigaji picha za mnato na video (harui, Mikanda ya nyimbo n.k)

Ths.200,000/=

12.

Maegesho ya magari,

VIP Parking nyakati za mchezo

Matamasha na makongamano

Ths. 5,000/=

Ths. 2,000/=

13.

Semina, Warsha, Makongamano na Mikutano;

(a) Ukumbi Mkubwa Groung Floor – watu 200

(b) Kumbi ndogo

Tsh. 1,000.000/=

Tsh.200,000/=

Angalizo

1.Gharama za huduma kuanzia namba 1 hadi 13 katika jedwali hapo juu zinahusisha gharama za usafi na ulinzi, pamoja na maandalizi ya Uwanja. (Kiambatanisho No.1)

2.Michezo yote ya kirafiki ya mpira wa miguu itatozwa gharama za awali kiasi cha Tshs. Milioni Tano (5,000,000/=). Iwapo mapato ya Serikali katika mchezo husika yatazidi kiasi tajwa hapo juu yatawasilishwa Wizarani na iwapo mapato yatakuwa chini ama sawa na kiasi tajwa hakutakuwa na madai ya ziada.

3.Michezo yote ya ligi kuu na ile ya CAF na FIFA itaendelea na utaratibu wa kawaida kwa mujibu wa makubalianio kati Serikali na TFF.

4.Gharama za huduma zinaweza kubadilika kulingana na aina ya tukio na ukubwa wake.