News
ILI UNUFAIKE NA MFUKO WA UTAMADUNI NA SANAA LAZIMA URASIMIKE - WAZIRI NDUMBARO
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka wabunifu wa kazi za sanaa na fasihi kujirasimisha na kurasimisha kazi zao ili waweze kunufaika na mikopo inayotolewa na Mfuko wa Utamaduni na Sanaa.... Read More
Posted On: Sep 17, 2024
WAZIRI NDUMBARO ATANGAZA FURSA LUKUKI KWENYE TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea litatoa fursa lukuki kwa wakazi wa mkoa wa Ruvuma na mikoa ya jirani katika nyanja za kibiashara,... Read More
Posted On: Sep 16, 2024
MHE. MWINJUMA APONGEZA MAJESHI KUWA NA PROGRAMU ZA KUENDELEZA VIPAJI
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Hamis Mwinjuma ametoa rai kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuendeleza programu za kukuza na kuendeleza vipaji vya vijana... Read More
Posted On: Sep 15, 2024
DKT. NDUMBARO - UTANDAWAZI USITUMIKE KUHARIBU UTAMADUNI WETU
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa msisitizo kwa jamii za kitanzania kutumia utandawazi kuongeza maarifa katika kuleta maendeleo badala ya kuacha utandawazi uharibu utamaduni wa Taifa.... Read More
Posted On: Sep 15, 2024
TIMU YA KRIKETI YAKABIDHIWA BENDERA
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro ameitaka timu ya Taifa ya mchezo wa kriketi ya wasichana wenye umri chini ya miaka 19 ihakikishe inakwenda kuipeperusha vema bendera ya Taifa... Read More
Posted On: Sep 15, 2024
RAIS SAMIA AIPA “SERENGETI GIRLS” MILIONI 30
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Million 30 kwa timu Taifa ya wasichana ‘Serengeti Girls’, baada ya kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa nchi za Kaskazini mwa Afrika (UNAF U-17)... Read More
Posted On: Sep 15, 2024