Vision and Mission
Dira
Kuwa na taifa linalothamini utamaduni wake na linakuwa mahiri katika michezo ifikapo mwaka 2025.
Dhamira
Kuendeleza utambulisho wa taifa kwa kuwawezesha vijana kiuchumi, kukuza utamaduni na michezo kwa umma kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi.