Unit
- Kuandaa na kulipa mishahara kwa wakati
- Kuandaa na kuwasilisha nyaraka za malipo Hazina
- Kuandaa na kuwasilisha taarifa za Mapato na Matumizi Hazina
- Kuandaa na kuhifadhi kumbukumbu za nyaraka za Malipo
- Kutekeleza malipo kwa Mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu za matumizi ya fedha za Serikali
Kuandaa na kuratibu majibu ya hoja mbalimbali za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.
Internal Auditing
Kazi inaendelea...
Kitengo cha Sheria
Kazi inaendelea....
ICT
Kutoa Utaalamu na Huduma kuhusiana na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Wizarani.
Kitengo hiki kinafanya kazi zifuatazo:-
• Kutekeleza sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao;
• Kutengeneza na kuratibu Mifumo ya TEHAMA Wizarani;
• Kuhakisha Kompyuta na program zinawekwa vizuri;
• Kuandaa mahitaji katika ununuzi wa vifaa vya TEHAMA
• Kutengeneza na kusimamia mfumo wa mawasiliano ya baruapepe;
• Kufanya tafiti na kushauri maeneo ya kutumia TEHAMA kama nguzo ya kutoa huduma bora na kwa wakati kwa wananchi.
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
1. Kuratibu masuala yote ya Mawasiliano ndani ya Wizara.
2. Kuandaa machapisho, vipindi katika vyombo vya habari pamoja na maonesho mbalimbali ya Wizara.
3. Kuandaa na kutekeleza Mkakati wa Mawasiliano wa Wizara.
4. Kuwa Msemaji Mkuu wa Wizara katika mambo yanayoihusu Wizara