Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

Mkutano wa Pili wa Baraza la Mawaziri wa michezo wa Afrika Kanda ya 4


Wataalamu wa Sekta ya Michezo katika Umoja wa Afrika Kanda ya 4, wakiwa katika siku ya pili ya mkutano wa pili wa kanda hiyo ngazi ya wataalamu, wenye lengo la kujadili maendeleo ya michezo katika ukanda huo  leo Agosti 19, 2025, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo utahitimishwa kesho Agosti 20, 2025, kwa ngazi ya mawaziri wa kanda hiyo.
Kanda ya nne inajumuisha nchi  za Commoros, Djibout, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Madagascar, Mauritius, Rwanda, Sychelles, Somalia, Sudani,Sudani Kusini wenyeji  Tanzania na Uganda.