Habari
MHE. MAKONDA AJIBU HOJA UWANJA WA AFCON ARUSHA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini(Mb) ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu ongezeko la gharama za Ujenzi wa Mpira wa Arusha ambao unatarajiwa katika Mashindano ya Afrika(AFCON 2027).
Ametoa ufafanuzi huo leo Novemba 04, 2026 Bungeni jijini Dodoma ambapo amesema Makadirio ya awali ya kiasi cha Bilioni 107 hayakujumuisha kodi lakini gharama zilizotajwa baadaye shilingi Bilioni 338 takribani shilingi Bilioni 52 zilijumuisha kodi.
Aidha Mhe. Makonda ameeleza kuwa ongezeko la gharama ya uwanja huo no kutokana na mabadiliko ya mahitaji na viwango vya kimataifa vya CAF si ubadhirifu kama inavyodaiwa. nitafsirie in english please
