Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

WAZIRI MAKONDA NA VIONGOZI WENGINE WAKIINGIA BUNGENI AWAMU YA PILI KWAAJILI YA MAJADILIANO YA MAPATO NA MATUMIZINYA WIZARA


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda na Viongozi wengine wakiingia Bungeni kwa awamu ya pili ya Majadiliano ya Uwasilishaji wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo, kwa mwaka wa fedha 2026/27 leo Mei 04, 2026