Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

UTAMADUNI WA MJI MKONGWE WAMKOSHA MISS WORLD


Mlimbwende wa Dunia (Miss World 2026), Joheirry Molla, amevutiwa na historia, utamaduni na mandhari ya kipekee ya Mji Mkongwe wa Zanzibar (Stone Town) alipotembelea eneo hilo na kujionea urithi wa kihistoria na kiutamaduni unaolitambulisha kimataifa.

Ziara hiyo ni sehemu ya safari yake nchini Tanzania inayolenga kutangaza vivutio vya utalii, utamaduni na uzuri wa nchi kimataifa, kuelekea mashindano ya Miss World 2027 yanayotarajiwa kufanyika nchini.

slot gacor