Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma ametoa pongezi kwa Benki ya PBZ(Ikhlas) kwa kufikisha huduma zake mkoa wa Tanga. Mhe. Mwinjuma ametoa pongezi hizo Juni 03, 2026 wakati alipozindua tawi la Benki hiyo katika Mkoa huo.