WIZARA YA HABARI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MWAKA 2026
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa elimu na huduma za Sekta za Wizara katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 16,2026 katika enep la Chinangali Park jijini Dodoma.