Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema itaendelea kutoa ushirikiano wa karibu katika kuhakikisha Tamasha la Utamaduni la Bulabo linafanyika kila mwaka ili kulinda urithi na utamaduni. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Mhe. Hamis Mwinjuma Juni 14, 2026 katika kilele cha Tamasha hilo.