Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

WAZIRI WA HABARI MAKONDA AWASILI KONGWA KUMPOKEA RAIS WA NAMIBIA


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, akiwa pamoja na Viongozi wengine wa Mkoa wa Dodoma katika eneo la Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika wilayani Kongwa,  tayari kumpokea Rais wa Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi - Ndaitwah leo Juni 21, 2026.

slot gacor