Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

MAKONDA AWASILI UFARANSA KWAAJILI YA KONGAMANO LA KISWAHILI


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, akiwa Paris, Ufaransa kwa ajili ya Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili litakalofanyika jijini humo kuanzia Julai 4, 2026 hadi siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Kiswahili Duniani Julai 07, 2026.

slot gacor