Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

WIZARA YAAHIDI USHIRIKIANO ZAIDI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO


Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema itaendelea kutoa ushirikiano wa karibu katika kuhakikisha Tamasha la Utamaduni la Bulabo linafanyika kila mwaka ili kulinda urithi na utamaduni.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma, tarehe   14 Juni, 2026 mkoani Mwanza katika kilele cha tamasha hilo ambapo amesema,  tamasha limekuwa kivutio cha utalii na kulinda urithi wa Utamaduni.

Ameongeza kuwa, Vikundi vya Sanaa ambavyo hufanya maonesho mbalimbali kama vile nyoka, wapatiwe leseni rasmi ili waiipoteze urithi  huo.

slot gacor