Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

UTIAJI SAINI MKATABA WA UWENYEJI WA MISS WORLD 2027


Miss World Tanzania Latricia Ian akiwasili kwa ajili ya kushuhudia Utiaji saini wa Mkataba wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Mashindano ya 74 ya Ulimbwende wa Dunia mwaka 2027 (Miss World 2027) inayofanyika leo Aprili 20, 2026 jijini Dar es Salaam. Latricia ameambatana na Miss World Opal Suchata Chuangsr na Miss World Afrika Hasset Dereje

Mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda.