Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

MRADI WA AKADEMIA YA MICHEZO MALYA WAFIKIA ASILIMIA 52

Ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, katika Mradi wa Ujenzi wa Akademia ya Michezo kwenye Chuo cha Michezo Malya kilichopo Wilaya ya Kwimba Mkoa wa Mwanza  ambao umefikia asilimia 52.

Amefanya ziara hiyo tarehe 25 Julai, 2026.

slot gacor