Habari
WAZIRI MKUU NCHEMBA AKABIDHI ZAWADI YA PICHA KWA MKURUGENZI MKUU WA UNESCO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, akikabidhi zawadi ya picha kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Profesa Khaled El-Enany, katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani leo tarehe 7 Julai 2026 Paris Ufaransa.
