Habari
KAIMU MTENDAJI WA COSOTA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA HABARI KATIKA MAONESHO YA SABASABA
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya HakiMiliki Tanzania (COSOTA) ametembelea Banda la Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuona namna linavyotoa huduma na elimu kwa wananchi, katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) tarehe 11 Julai, 2026.
