Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

WADAU MBALIMBALI WATEMBELEA WIZARA YA HABARI SABASABA


Wadau mbalimbali wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,wameendelea kufika katika Banda hilo leo Julai 13, 2026 kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu Sabasaba ambapo Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeweza kufanya mdahalo na Wadau wake na kutoa elimu pamoja na kutoa maoni yao kuhusu bodi hiyo.

slot gacor