Habari
UZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YA HABARI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/26
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndg. Methusela Ntonda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo, leo tarehe 4 Machi 2026 Mtumba jijini Dodoma.
Mkutano huo unaongozwa na kauli mbiu "Baraza Bora; Kichocheo cha Ufanisi Mahali Pa Kazi.
