Habari
VIONGOZI WIZARA YA HABARI WAKIFUATILIA HOTUBA YA BAJETI BUNGENI, DODOMA
Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg. Gerson Msigwa wakifuatilia Makadilio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 inayosomwa leo Mei 04, 2026, Bungeni jijini Dodoma.
