Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

RIO FERDINAND AWASILI BUNGENI JIJINI DODOMA


Rio Ferdinand, Nahodha na Mchezaji wa zamani na  wa Timu ya Taifa ya  Uingereza na Klabu ya Manchester United, akiwa katika viunga vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kushuhudia shughuli za uendeshaji  wa Bunge hilo, leo Mei 20, 2026 Jijini Dodoma, ikiwa ni muelendelezo wa ziara yake nchini Tanzania ambayo inalenga kuboresha sekta ya michezo pamoja kuona vivutio vya kitalii.

Amepokelewa na Mwenyeji wake Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda.

slot gacor