Habari
MKUTANO WA MWAKA WA WATAYARISHAJI WA VIPINDI KWA UMMA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akizunguma na Washiriki wa Mkutano wa Watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma uliondaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Machi 25, 2026 jijini Arusha.
