Habari
MKUTANO WA MWAKA WA WATAYARISHAJI WA VIPINDI KWA UMMA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda akitoa maelezo mafupi kuhusu Mkutano wa Watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma uliondaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Machi 25, 2026 jijini Arusha
