Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

NAIBU WAZIRI MWINJUMA AWASILISHA RANDAMA YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma akiwasilisha randama za makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo, kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Aprili 30, 2026 Bungeni Jijini Dodoma