Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

MSIGWA AUNGANA NA WANASIMBA KATIKA SIMBA DAY, ATOA HESHIMA KWA MAGWIJI WA TIMU HIYO


Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa, ameshiriki katika Tamasha la Simba Day 2026 leo, Agosti 8, 2026, katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

 Msigwa ameshuhudia mchezo  maalum ya hisani uliowakutanisha wachezaji wa zamani wa Klabu ya Simba, ikiwa ni sehemu ya tukio la kuwaenzi na kuwakumbuka magwiji waliowahi kuitumikia klabu hiyo.

Simba Day 2026 imefanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 90 ya Klabu ya Simba, ikiwa na  matukio yanayolenga kuunganisha historia ya klabu, wachezaji wa zamani, viongozi na mashabiki katika kusherehekea safari ndefu ya Simba katika soka la Tanzania.

slot gacor