Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Habari

MAELFU YA WANANCHI WAJITOKEZA KIZIMKAZI FESTIVAL, MHE. MWINJUMA AWAKUNA MASHABIKI.


Maelfu ya wananchi wamefurika kwenye Kizimkazi Festival, iliyofanyika Kizimkazi, Zanzibar, wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali.

Tamasha hilo limekuwa sehemu ya kuhamasisha utalii, utamaduni na sanaa nchini, huku wananchi wakipata fursa ya kushuhudia burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa muziki wa Dansi, Bongo Fleva na Singeli.

Katika kilele cha burudani, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, naye amepata nafasi ya kuwaburudisha mashabiki wa muziki wa Bongofleva

slot gacor