Habari
MSIGWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA 21 CHA MAAFISA HABARI MKOANI NJOMBE
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa, akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano, Itifaki na Uhusiano Serikalini leo Mei 07, 2026 kwenye Kikao Kazi cha 21 cha Maafisa hao kinachoendelea Mkoani Njombe. nitafsirie in english
