Habari
RAIS WA NAMIBIA MHE. DKT. NETUMBO ATEMBELEA MAKABURI YA MASHUJAA KONGWA
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah ametembelea Makaburi ya mashujaa wa Namibia yaliyopo Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Amefanya ziara hiyo, tarehe 21Juni, 2026 ambapo amepokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda.
