Picha ya Uwanja wa Arusha ambao kwa sasa umefikia 74%. Uwanja huu unatarajiwa kutumika katika Mashindano ya AFCON 2027 na unatarajiwa kukamilika Julai mwaka huu (2026).
Viongozi na watumishi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Waziri, Mhe. Paul Makonda, leo Januari 14, 2026, wamepanda miti mbalimbali ikiwemo ya matunda na kivuli kwenye jengo la Wizara hiyo, Mtumba jijini Dodoma,
Makabidhiano ya Ofisi ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi na Waziri mpya Mhe. Paul Makonda
Wataalamu wa Sekta ya Michezo katika Umoja wa Afrika Kanda ya 4, wakiwa katika siku ya pili ya mkutano wa pili wa kanda hiyo ngazi ya wataalamu, wenye lengo la kujadili maendeleo ya michezo katika ukanda huo leo Agosti 19, 2025, jijini Dar es Salaam.